Saturday, 10 September 2016

TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAIKUMBA MIKOA YA MWANZA, KAGERA(kanda ya ziwa victoria) .

Leo jumamosi tarehe 10 TETEMEKO kubwa limeikumba mikoa ya mwanza na kagera Imeripotiwa leo kutokea kwa TETEMEKO kubwa maeneo ya kanda ya ziwa victoria na kusababisha uharibifu mkubwa picha hizi hapa za eneo la tukio



Friday, 9 September 2016

Noumaa sanaahh

KONDA NA MWIZI
Jamaa alikuwa kwenye daladala ghafla akapokea
ujumbe toka kwa Demu aliyekuwa anampenda ila
bado hawajafanya tendo la ndoa "nimefikiria

VIDEO MPYA PIPI FT NIKKI WA PILI - HAFAI

Karibu kutazama video mpya ya pipi ft Nikki wa pili

MSIMU WA PILI WA RIWAYA YA MWANAFUNZI MCHAWI SEHEMU YA 2

Riwaya:MWANAFUNZI MCHAWI (-2) MTUNZI:ENEA FAIDY SEHEMU YA 2 ....Hamisa alimshangaa mama yake huku akimtazama kwa woga. Mama Hamisa aliachia

TAMKO LA MHESHIMIWA UMMY MWALIMU(MB) WAZIRI WA AFYA JINSIA NA WATOTO KUHUSU WANAFUNZI HITIMU DARASA LA SABA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAMKO LA MHESHIMIWA UMMY MWALIMU (MB) WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU WATOTO WALIOMALIZA ELIMU YA MSINGI LILILOTOLEWA TAREHE 09/09/2016 Ndugu

Hiii kalii😁😁😁😁😁😁😁😁😁

KONDA NA MWIZI
Jamaa alikuwa kwenye daladala ghafla akapokea
ujumbe toka kwa Demu aliyekuwa anampenda ila
bado hawajafanya tendo la ndoa "nimefikiria
nimeona leo nije nikupe kwani umeonyesha
uvumilivu sana, je utakuwa nyumbani nije? Jamaa
akafurahi sana akashika simu akaandika "Ndio
nipo mpenzi njo...." kabla hajatuma kibaka
akakwapua simu, Jamaa akatoa kichwa dirisha na
kupiga kelele " we mwizi bonyeza send, bonyeza
send, bonyeza send'
KAMA UNGELIKUWA WEWE KONDA
UNGELIMWAMBIAJE MWIZI...
If...
99 is: Ninety nine,
88 is: Eighty eight,
77 is: Seventy seven,
66 is: Sixty six,
55 is: Fifty five,
44 is: Forty four,
33 is: Thirty three,
22 is: Twenty two,
Why 11 not Onety one?
Wazungu msitufanye wajinga...!! πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mungu anaona
Sirudii tena ndo mwanzo na mwisho!!
Jana nilisoma nakala moja kwenye gazeti kuhusu
ulaji wa nyama ya kitimoto na mazara yake!!na
mimi nilikuwa mgumu wa kuamini hilo!!sasa leo
nimeamua kuchukua maamuzi magumu!!kuanzia
leo!!sitakaa nisome tena magazeti!!!...

UNAONAJE HII


Nimezunguka sana tanzania hii,lakini sijakutaga bango la mganga wa kienyeji kutoka Arusha au Moshi.siku ukiona bango mtaani limeandikwa hivi.....MGANGA WA KIENYEJI....MANGI KUTOKA MOSHI...
...(1)anatibu ugumba
...(2)anatoa majini
...(3)anatoa ndagu za hela
...(4)anatoa limbwata..nk..
usicherewe wahi haraka kabla hajaanza kuchakachua dawaπŸ˜€πŸ˜€oj zaoπŸ’ƒπŸΎπŸšΆπŸΏ

DUUUHH WANAWAKE SHIDA

USITHUBUTU
*KUTIZAMA MPIRA UKIWA NA MWANAMKE NI
QUESTION QUESTION STRESS TUPU*
*Mke:* _Honey timu gani zinacheza leo?_
*Mume:* ```Arsenal vs Manchester Utd```
*Mke:* _oooh safi sana, ninaipenda Arsenal._
*Mume:* ```Safi hiyo timu nzuri sana, hujakosea
Darling.```
*Mke:* _Drogba anacheza?_
*Mume: ```Drogba hachezei timu