Saturday 10 September 2016

Kalii

Jamaa kamtumia Demu wake elfu 2 kwa
M PESA demu kuona SMS ya M pesa akafurahi lakini ile kufungua akakuta elfu 2, akaamua kumpigia jamaa simu!!


DEMU: Huku akiwa na jazba hivi wewe
kwa akili yako nzito mi na uzuri wangu wote huu nitafanyia nini kihela chako hiki hivi umechanganykiwa eeeh!?

Sa sikia, kwanza nina boyfriend wangu ananipenda ana magari na mifweza tele hawena hawezi nitumia elfu 2 so sitaki usumbufu...niachee!!!

JAMAA: Huku akshusha pumzi samahani sana ila nilikuwa niko show room
nakununulia gari sasa nimetuma elfu 2 M pesa ili nipate jina lako kamili ili nikuchagulie gari lako. Poa msalimie
shemeji!!!

DEMU: Huku akjichekesha kwa madaha Ohh unajua baby, honey, my darling jaman sweetie my Nivea  hutaniwi? mi nakutania mwaya!!!!

Wadada wote nawasalimiaπŸ‘‹!!!

Ila nawakumbusha kuwa Mungu anawaona"

No comments:

Post a Comment